MSAADA
Tembea na tazama kwa kutumia kikasa (kompyuta) au vidole (simu janja)
Kuenda mbele, kurudi nyuma, kusogea kulia na kushoto - bonyeza/gusa na sukuma kitufe cha kushoto (rangi ya bluu).
Kutazama kulia, kushoto, juu na chini - bonyeza/gusa na sukuma kitufe cha kulia (rangi ya nyekundu).